ARUSHA-Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) linapenda kuwataarifu wateja wake na wadau wa utalii kuwa,kuanzia Julai 1,2024 kutakuwa na mabadiliko katika malipo yote yaliyokuwa yakifanyika kwa viwango vya dola za Kimarekani ambapo sasa yatafanyika kwa viwango vya shilingi za Kitanzania.