Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakishuhudia utiaji saini Hati ya Makubaliano ya kushirikiana katika masuala ya Afya baina ya Tanzania na Msumbiji Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai, 2024. Kulia ni Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akionesha Hati ya Mkataba huo pamoja na Naibu wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Msumbiji Mhe. Manuel José Gonçalves.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakishuhudia utiaji saini Hati ya Makubaliano baina ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania na Taasisi ya Msumbiji ya Uwekezaji na Uwezeshaji Usafirishaji Nje ya Nchi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai, 2024. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC Bw. Gilead Teri akitia saini Hati hiyo pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa AIPEX Bw. Gil Da Conceçao Bires kwa upande wa Msumbiji.