TIC yafungua kituo kipya Kanda ya Kaskazini


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akisaini kitabu cha wageni kwenye kituo kipya cha uwekezaji nchini Tanzania TIC Kanda ya Kaskazini mara baada ya kuzindua ofisi hizo za kutoa huduma za pamoja leo Julai 4, 2024 kwenye jengo la Ngorongoro jijini Arusha.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akisaini kitabu cha wageni kwenye kituo kipya cha uwekezaji nchini Tanzania TIC kanda ya Kaskazini mara baada ya kuzindua ofisi hizo za kutoa huduma za pamoja Julai 4, 2024 kwenye jengo la Ngorongoro Jijini Arusha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news