TMDA yatoa ufafanuzi kuhusu uvumi wa dawa ya Paracetamol inayodaiwa kubabua ngozi

DAR-Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)imetoa ufafanuzi kwa umma kuhusu uvumi wa dawa ya Paracetamol inayodaiwa kubabua ngozi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo kwa umma iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dkt. Adam Fimbo imebainisha kuwa, imebaini uwepo wa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uwepo wa dawa aina ya Paracetamol ambayo imeandikwa P 500 na kudaiwa kubabua ngozi;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news