VIDEO:Karibu katika Madini Diary, kipindi kilichosheheni mengi

DODOMA-Karibu Madini Diary tunapoangazia matukio makuu ambayo Wizara ya Madini imeshiriki kuanzia mwanzoni mwa 2024 hadi Juni 2024.
Mwaka 2024, Wizara ya Madini imeendelea kusimamia Sekta ya Madini nchini Tanzania kwa kuhakikisha inafikia lengo la kuchangia asilimia 10 kwenye Pato la Taifa ifikapo mwaka 2025.

Ili kufikia malengo hayo, Wizara imeshiriki na kuandaa matukio makubwa yakiwemo ya kimataifa. Na maonyesho na makongamano ya kitaifa, kwa lengo la kuonesha na kutangaza duniani utajiri mkubwa wa rasilimali za madini zilizopo Tanzania na fursa za uwekezaji katika utafutaji na uchimbaji madini.

Karibu Madini Diary, tukikuletea muhtasari wa matukio makuu ambayo Wizara ya Madini imeshiriki tangu mwanzoni mwa Januari, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news