VIDEO:Mrisho Mpoto awatoa machozi Watanzania tatizo la dawa za kulevya nchini


Mjomba Band ikiongozwa na Mrisho Mpoto,  iliwaburudisha wahudhuriaji Juni 30,2024 katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza. Burudani hiyo ilijumuisha sanaa ya wimbo na igizo lililomuhusu kijana Innocent, ambaye aliweza kuacha matumizi ya dawa za kulevya kwa msaada wa methadone.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news