Wamiminika banda la DCEA kupata elimu kuhusu dawa za kulevya Maonesho ya Sabasaba


Wananchi mbalimbali wameendelea kutembelea banda la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) lililopo katika banda la Ofisi ya Waziri Mkuu ili kupata elimu juu ya madhara ya dawa za kulevya.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news