Waziri Mhagama awaongoza Machifu kutembelea eneo la Mnara wa Mashujaa

DODOMA-Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amewaongoza Machifu kutoka mikoa mbalimbali nchini kutembelea eneo la Mnara wa Mashujaa lililopo Mji wa Serikali Mtumba, mara baada mkutano wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news