Waziri Mkuu ashiriki Ruaha Marathon

IRINGA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 6, 2024 ameshiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon 2024 zilizofanyika katika Hifadhi ya Ruaha mkoani Iringa.
Mbio hizo zinalenga kukuza utalii wa Kusini na kutoa hamasa kwa jamii kuhifadhi mazingira kwenye vyanzo vya maji vya Mto Ruaha mkubwa.Aidha, lengo jingine ni kuhamasisha mazoezi na afya bora.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news