Waziri Mkuu azindua Hospitali ya Tosamaganga

IRINGA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 6, 2024 ameweka jiwe la msingi la uzinduzi wa hospitali ya Rufaa ya Tosamaganga pamoja na uzinduzi wa huduma ya mionzi katika hospitali hiyo iliyopo mkoani Iringa.
Mheshimiwa Majaliwa yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news