HomeAFCON 2027 Waziri Mkuu kuzindua Kamati ya AFCON leo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 atazindua kamati ya maandalizi ya Michuano ya AFCON 2027. Hafla hiyo inafanyika katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam. Tags AFCON 2027 Habari Picha Picha Chaguo la Mhariri Facebook Twitter