HomeHabari Waziri Mkuu mgeni rasmi Wiki ya Sekta Binafsi DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 23, 2024 ni mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Wiki Maadhimisho ya Wiki ya Sekta Binafsi inayofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. Tags Habari Ofisi ya Waziri Mkuu Prime Minister Office Tanzania Sekta Binafsi Tanzania Facebook Twitter