Waziri wa Fedha ateta jambo na RC wa Arusha

ARUSHA-Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amemtembelea Mkuu wa Mkoa Arusha, Mhe. Paul Makonda, katika Ofisi yake jijini Arusha, ambapo wamezungumza masuala kadhaa kuhusiana na shughuli za uchumi jijini humo na namna bora ya kusisimua uchumi wa nchi kupitia fursa mbalimbali zilizoko mkoani humo ikiwemo utalii, kabla ya kwenda kuhitimisha Kikao cha Tathmini ya Utendaji wa Kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kinachofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC).
Mhe. Dkt. Nchemba aliambatana na Naibu Waiziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) na maafisa wengine waandamizi wa Wizara ya Fedha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news