Zimbabwe yavutiwa na banda jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu

DAR-Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala ya Mikoa na Ugatuzi kutoka nchini Zimbawe, Mheshimiwa Ezra Chadzamira ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizochini yake na kueleza kuwa Tanzania na Zimbabwe zitaendelea kuimarisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo na uvuvi. Ametembelea banda hilo leo Julai 6, 2024 wakati wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika Uwanja wa Sabasaba jijini Dar es salaam.
Maonesho hayo yamebebwa na kaulimbiu: “Tanzania Mahali Sahihi Pa Biashara na Uwekezaji”.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news