Balozi Nchimbi azungumza na wananchi Katoma

KAGERA-Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amezungumza na wananchi wa Katoma, Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini, mkoani Kagera, Ijumaa Agosti 9, 2024 wakati akiendelea na ziara yake ya siku sita mkoani humo, waliomsimamisha njiani wakati akitokea Wilaya ya Misenyi, kwenda Bukoba mjini.
Katika ziara hiyo Balozi Dkt. Nchimbi ameambatana na Ndugu Issa Haji Usi Gavu, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) - Oganaizesheni, Ndugu Amos Gabriel Makalla, Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo na Ndugu Rabia Abdalla Hamid, Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news