Boti ya Zanzibar 3 yarejea kazini tena

ZANZIBAR-Uongozi wa Kampuni ya Zan Fast Ferries unayofuraha kuutarifu umma juu ya kurejea kwa huduma ya usafiri kwa boti ya Zanzibar 3 ambayo ilisitisha kwa muda safari zake kati ya Unguja, Pemba na Tanga kutokana na hitilafu ya kiufundi.

Huduma katika sehemu tajwa itarejea kama kawaida kuanzia siku ya Alhamisi tarehe 1.8.2024 ambapo boti itaanza safari kutoka kisiwani Unguja kuelekea kisiwani Pemba majira ya saa 3:30 Asubuhi. Ratiba nyingine kuendelea kama kawaida

Uongozi unawashukuru wateja wake wote kwa uvumilivu mkubwa waliouonesha katika kipindi chote cha kusimama kwa huduma.Endelea kuchagua na kufurahia huduma bora kutoka Zan Fast Ferries.
The management of Zan Fast Ferries is pleased to inform the general public on the resumptions of services for Zanzibar 3 vessel which had temporarily suspended its operations due to technical issues.

The vessel will resume its regular operations on Thursday August 1 2024. The schedule will start from Unguja to Pemba at 9:30AM

The management appreciates all customers for their patience during the time of services suspension and invites all to continue choosing and enjoying the excellent services from Zan Fast Ferries.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news