DODOMA-Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Jeremiah Yoram Katungu, amewataka Maafisa, Askari na Watumishi wasio Askari wa Jeshi la Magereza Nchini, kufanya kazi kwa Kuzingatia Sheria Kanuni Taratibu na kudumisha nidhamu na ushirikiano mahala pa kazi.