Cristiano Ronaldo (CR) ashiriki Droo za UEFA Champions League

MONACO-Cristiano Ronaldo (CR) ambaye ni nyota wa Timu ya Taifa ya Ureno na Klabu ya Al Nassr FC ya Saudi Arabia amehudhuria usiku wa droo za UEFA Champions League huko Monaco.
Cristiano Ronaldo (CR).Picha na Uefa.

Mfungaji huyo wa muda wote wa mashindano ya Uefa Champions League baada ya kuwasili katika hafla hiyo amepewa heshima kubwa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news