Dawa iliyoondoa michepuko katika ndoa yangu!

MTWARA-Jamani nimekuja kuamini hakuna kitu kinaumiza ndani ya ndoa kama mke uje kugundua mume wako ana mpango wa kando, tena amekuwa akitoa fedha nyingi za familia ili kuhudumia mpango wa kando.
Jambo hilo liliikumba ndoa yangu miaka ya nyuma, mume wangu alitekwa sana na mpango wa kando kiasi kwamba ulifikia wakati akawa anashindwa hata kutoa fedha ya kuwanunulia watoto wetu chakula.

Jina langu ni Salma kutoka Mtwara, ni Mama watoto wanne ambao nimewapata ndani ya ndoa moja na mume wangu, nampenda sana mume wangu sema alitaka kuniacha kisa mpango wa kando ila niliweza kumrudisha nyumbani kwa msaada wa Dr Bokko.

Awali, kila sehemu niliyokuwa napita nilikuwa napewa habari kuwa mume wangu ana mpango wa kando eneo hilo, hiyo ilikuwa inanipa sana mawazo na kusema huyu mwanaume anaweza kuniletea magonjwa ndani maana siku hizi huko nje kumeharibika sana.

Nilimuita mume wangu chumbani na kumuuliza kuhusu hilo, alikanusha ila nilimueleza ukweli kuhusu tabia yake na kumkanya waziwazi, hata hivyo, ni kama nilikuwa napigia mbuzi gitaa, hakuweza kunisikiliza hata kidogo, aliendelea na mambo yake ya mpango wa kando.

Ilifikia kipindi nikaondoka nyumbani na kwenda kwa wazazi wangu, nilikaa huko zaidi ya wiki mbili, nilipigiwa simu na majirani na kuniambia kwamba watoto wangu wanateseka sana.

Nilipata uchungu moyoni na kuamua kurejea nyumbani ili niweze kuwalea tu wanangu.

Niliporejea nyumbani, kuna jirani alikuja kunitembelea na kuniambia kuwa Dr Bokko anaweza kumtuliza mume wangu kwa nyumba mara moja, alinipatia namba yake ambayo ni +255618536050 na hapo ndio ulikuwa mwisho wa mume wangu kuwa na mpango wa kando.

Baada ya kuwasiliana naye na kufanyiwa tiba, mume wangu alianza kutulia nyumbani, usiku moja alipiga magoti huku alilia na kuniomba msamaha na kusema hatorudia tena kitendo hicho.

Na kweli nilianza kuona mabadiliko katika maisha yake, alianza kufanya maendeleo katika maisha yetu pale nyumbani na hata fedha zilikuwa zinaonekana. Asante sana Dr Bokko kwa huduma yako maridadi ya kuvutia.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news