Dkt.Feleshi awaongoza mawakili kutoa heshima za mwisho kwa Wakili Maria Pengo aliyefariki ghafla

DODOMA-Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Dkt. Eliezer Feleshi amewaongoza mawakili wanaondelea na mkutano mkuu wa TLS 2024 kutoa heshima zao za mwisho kwa wakili Maria Pengo aliyefariki baada ya kuugua ghafla usiku wa kuamkia Agosti 2, 2024.

Maria Pengo alikuwa miongoni mwa mamia ya mawakili waliofika mkoani Dodoma kushiriki mkutano mkuu wa mwaka unaokwenda sambamba na uchaguzi mkuu wa The Tanganyika Law Society (TLS).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news