Dkt.Yonazi aongoza kikao TNCM

DAR-Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chombo kinachosimamia utekelezaji wa Programu zinazofadhiliwa na Global Fund ( Tanzania National Coordinating Mechanism TNCM) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha wajumbe wa chombo hicho kwa ajili ya kujadili utekelezaji wa program za Malaria, Kifua Kikuu, UKIMWI pamoja na uimarishaji wa mifumo ya kutolea huduma za Afya Nchini kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa kipindi cha kuanzia mwaka 2024 hadi 2026.
Kikao hicho kimefanyika leo Agosti 9, 2024 katika Jengo la Tume ya Ushindani jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news