Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 26,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.92.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 26, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2670.12 na kuuzwa kwa shilingi 2696.82 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8741.88 na kuuzwa kwa shilingi 8822.94.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3503.19 na kuuzwa kwa shilingi 3538.49 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.5.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1965.63 na kuuzwa kwa shilingi 1985.14 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3133.57 na kuuzwa kwa shilingi 3164.55.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 259.57 na kuuzwa kwa shilingi 262.13 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 148.74 na kuuzwa kwa shilingi 150.19.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 727.08 na kuuzwa kwa shilingi 733.81 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 171.34 na kuuzwa kwa shilingi 172.86.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2967.84 na kuuzwa kwa shilingi 2997.98.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1797.26 na kuuzwa kwa shilingi 1815.49 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3597.08 na kuuzwa kwa shilingi 3633.05.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.78 na kuuzwa kwa shilingi 20.82 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.43 na kuuzwa kwa shilingi 1.54.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 26th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED727.0774734.1482730.612826-Aug-24
2ATS171.3416172.8598172.100726-Aug-24
3AUD1797.2571815.49921806.378126-Aug-24
4BEF58.446358.963758.70526-Aug-24
5BIF0.92280.92580.924326-Aug-24
6CAD1965.63521985.14541975.390326-Aug-24
7CHF3133.57453164.53893149.056726-Aug-24
8CNY374.1443377.8329375.988626-Aug-24
9DEM1069.88771216.15331143.020526-Aug-24
10DKK397.7772401.731399.754126-Aug-24
11ESP14.170314.295414.232926-Aug-24
12EUR2967.83712997.78512982.811126-Aug-24
13FIM396.5366400.0504398.293526-Aug-24
14FRF359.4329362.6123361.022626-Aug-24
15GBP3503.19593538.49753520.846726-Aug-24
16HKD342.3668345.7728344.069826-Aug-24
17INR31.833832.13131.982426-Aug-24
18ITL1.21771.22841.223126-Aug-24
19JPY18.288518.470118.379326-Aug-24
20KES20.779120.824920.80226-Aug-24
21KRW1.99662.0152.005826-Aug-24
22KWD8741.87678822.94058782.408626-Aug-24
23MWK1.43071.54011.485426-Aug-24
24MYR610.7316615.9936613.362626-Aug-24
25MZM41.435741.785341.610526-Aug-24
26NLG1069.88771079.37561074.631726-Aug-24
27NOK251.6985254.1485252.923526-Aug-24
28NZD1643.45811660.97151652.214826-Aug-24
29PKR9.09289.65649.374626-Aug-24
30RWF1.99832.05032.024326-Aug-24
31SAR711.6521718.6921715.172126-Aug-24
32SDR3597.07883633.04963615.064226-Aug-24
33SEK259.5725262.1326260.852626-Aug-24
34SGD2040.28332060.52872050.40626-Aug-24
35UGX0.69090.7250.707926-Aug-24
36USD2670.11882696.822683.469426-Aug-24
37GOLD6678501.17236746041.29376712271.23326-Aug-24
38ZAR148.7399150.1963149.468126-Aug-24
39ZMW99.4248103.3264101.375626-Aug-24
40ZWD0.49970.50970.504726-Aug-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news