Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 29,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1709.57 na kuuzwa kwa shilingi 1829.02 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3604.41 na kuuzwa kwa shilingi 3640.45.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 29, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.82 na kuuzwa kwa shilingi 20.87 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.43 na kuuzwa kwa shilingi 1.54.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2670.96 na kuuzwa kwa shilingi 2697.67 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8748.07 na kuuzwa kwa shilingi 8832.66.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3529.07 na kuuzwa kwa shilingi 3563.62 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.5.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1983.48 na kuuzwa kwa shilingi 2002.57 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3157.55 na kuuzwa kwa shilingi 3187.24.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 261.91 na kuuzwa kwa shilingi 264.48 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 150.31 na kuuzwa kwa shilingi 151.77.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 727.27 na kuuzwa kwa shilingi 734.33 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 171.39 na kuuzwa kwa shilingi 172.91.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2970.11 na kuuzwa kwa shilingi 3000.35.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 29th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED727.2669734.4196730.843229-Aug-24
2ATS171.3956172.9143172.154929-Aug-24
3AUD1809.57571829.02031819.29829-Aug-24
4BEF58.464758.982258.723529-Aug-24
5BIF0.92390.92610.92529-Aug-24
6BWP200.5891203.1346201.861829-Aug-24
7CAD1983.48462002.57591993.030329-Aug-24
8CHF3163.89533194.39913179.147229-Aug-24
9CNY374.5562378.2593376.407829-Aug-24
10CUC111.29112.4029111.846529-Aug-24
11DEM1070.22491216.53661143.380829-Aug-24
12DKK398.2526402.2051400.228829-Aug-24
13DZD20.01820.135220.076629-Aug-24
14ESP14.174814.299914.237329-Aug-24
15EUR2970.1083000.34862985.228329-Aug-24
16FIM396.6616400.1765398.419129-Aug-24
17FRF359.5461362.7266361.136429-Aug-24
18GBP3528.07163563.62213545.846829-Aug-24
19HKD342.4396345.8596344.149629-Aug-24
20INR31.815332.112431.963929-Aug-24
21IQD2.04052.05772.049129-Aug-24
22IRR0.06360.06420.063929-Aug-24
23ITL1.2181.22881.223429-Aug-24
24JPY18.435718.618718.527229-Aug-24
25KES20.826220.871720.84929-Aug-24
26KRW22.01922.009629-Aug-24
27KWD8748.06898832.65678790.362829-Aug-24
28MWK1.43111.54061.485929-Aug-24
29MYR615.4287620.7248618.076729-Aug-24
30MZM41.461741.811441.636529-Aug-24
31NAD150.3073151.7583151.032829-Aug-24
32NGN1.70671.67041.688529-Aug-24
33NLG1070.22491079.71581074.970429-Aug-24
34NOK253.773256.2255254.999229-Aug-24
35NZD1666.14511683.07631674.610729-Aug-24
36PKR9.11179.6689.389829-Aug-24
37QAR732.9749739.8985736.436729-Aug-24
38RWF1.98922.0462.017629-Aug-24
39SAR711.7816718.8611715.321329-Aug-24
40SDR3604.40853640.45263622.430529-Aug-24
41SEK261.9102264.4852263.197729-Aug-24
42SGD2048.43962067.65542058.047529-Aug-24
43TRY78.482679.244278.863429-Aug-24
44UGX0.69020.72420.707229-Aug-24
45USD2670.96042697.672684.315229-Aug-24
46GOLD6693239.78526761547.99486727393.8929-Aug-24
47ZAR150.309151.7736151.041329-Aug-24
48ZMK100.0321103.9565101.994329-Aug-24
49ZWD0.49980.50990.504929-Aug-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news