Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 9,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3376.11 na kuuzwa kwa shilingi 3411.21 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 9, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1924.21 na kuuzwa kwa shilingi 1943.31 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3121.88 na kuuzwa kwa shilingi 3152.73.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 251.42 na kuuzwa kwa shilingi 253.89 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.68 na kuuzwa kwa shilingi 145.09.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 724.88 na kuuzwa kwa shilingi 732.05 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 170.84 na kuuzwa kwa shilingi 172.36.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2905.41 na kuuzwa kwa shilingi 2934.73.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1725.19 na kuuzwa kwa shilingi 1742.71 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3566.36 na kuuzwa kwa shilingi 3602.02.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.64 na kuuzwa kwa shilingi 20.68 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.43 na kuuzwa kwa shilingi 1.53.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2662.34 na kuuzwa kwa shilingi 2688.96 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8710.98 na kuuzwa kwa shilingi 8793.48.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 9th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED724.8793732.0484728.463809-Aug-24
2ATS170.8422172.356171.599109-Aug-24
3AUD1725.19411742.7151733.954609-Aug-24
4BEF58.275958.791858.533909-Aug-24
5BIF0.91950.92770.923609-Aug-24
6BWP195.4155197.9075196.661509-Aug-24
7CAD1924.20981943.31141933.760609-Aug-24
8CHF3121.87693152.7263137.301509-Aug-24
9CNY372.2767375.8943374.085509-Aug-24
10CUC110.9307112.04111.485309-Aug-24
11DEM1066.76951212.60881139.689109-Aug-24
12DKK389.3671393.232391.299609-Aug-24
13DZD19.8519.853119.851609-Aug-24
14ESP14.12914.253714.191409-Aug-24
15EUR2905.4082934.73092920.069509-Aug-24
16FIM395.3809398.8845397.132709-Aug-24
17FRF358.3853361.5554359.970309-Aug-24
18GBP3376.10913411.21473393.661909-Aug-24
19HKD341.6669345.0791343.37309-Aug-24
20INR31.733832.030131.881909-Aug-24
21IQD2.03392.05112.042509-Aug-24
22IRR0.06340.0640.063709-Aug-24
23ITL1.21411.22491.219509-Aug-24
24JPY18.393918.576618.485309-Aug-24
25KES20.638320.684320.661309-Aug-24
26KRW1.93321.95131.942309-Aug-24
27KWD8710.97948793.48578752.232609-Aug-24
28MWK1.42651.53571.481109-Aug-24
29MYR595.601600.4824598.041709-Aug-24
30MZM41.327841.676441.502109-Aug-24
31NAD143.7236145.0904144.40709-Aug-24
32NGN1.71761.67021.693909-Aug-24
33NLG1066.76951076.22971071.499609-Aug-24
34NOK242.0372244.3909243.214109-Aug-24
35NZD1576.10331592.13321584.118309-Aug-24
36PKR9.07839.64659.362409-Aug-24
37QAR730.3077737.2063733.75709-Aug-24
38RWF1.98382.04962.016709-Aug-24
39SAR709.1055716.1203712.612909-Aug-24
40SDR3566.35863602.02223584.190409-Aug-24
41SEK251.4176253.8982252.657909-Aug-24
42SGD2006.7362026.65062016.693309-Aug-24
43TRY79.266980.023879.645309-Aug-24
44UGX0.68710.72090.70409-Aug-24
45USD2662.33662688.962675.648309-Aug-24
46GOLD6372808.57666437908.0326405358.304309-Aug-24
47ZAR143.6833145.0912144.387209-Aug-24
48ZMK99.517103.4215101.469309-Aug-24
49ZWD0.49820.50830.503209-Aug-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news