Falsafa za Rais Dkt.Samia zimeunganisha Taifa

GEITA-Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ametoa rai kwa viongozi wa dini kuendelea kuliombea Taifa ili liendelee kuwa na umoja wa kitaifa ulioletwa na falsafa za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) akiwahutubia waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Geita, alipohudhuria Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre ya Askofu Flavian Matindi Kassala, iliyofanyika Kanisa Kuu Bikira Maria Malkia wa Amani mkoani Geita.

Mhe. Dkt. Nchemba ametoa rai hiyo wakati akiwahutubia waumini wa Kanisa la Kikatoliki Jimbo la Geita, alipohudhuria Jubilei ya Miaka 25 ya upadre ya Askofu Flavian Matindi Kassala, yaliyofanyika Kanisa Kuu Bikira Maria Malkia wa Amani mkoani Geita.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) akiwahutubia waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Geita, alipohudhuria Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre ya Askofu Flavian Matindi Kassala, iliyofanyika Kanisa Kuu Bikira Maria Malkia wa Amani mkoani Geita.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na maaskofu na viongozi mbalimbali katika Kanisa Katoliki Jimbo la Geita, alipohudhuria Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre ya Askofu Flavian Matindi Kassala, iliyofanyika Kanisa Kuu Bikira Maria Malkia wa Amani mkoani Geita.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) akishiriki Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre ya Askofu Flavian Matindi Kassala, iliyofanyika Kanisa Kuu Bikira Maria Malkia wa Amani mkoani Geita.
"Ni vyema kutambua kwamba tunahitaji kushindanisha sera na falsafa zinazolenga kuendeleza na kuunganisha Taifa letu na sio kuleta mgawanyiko na kubaguana."
Aidha, Dkt.Nchemba amewaomba viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na Serikali kutoa elimu na kukemea masuala ya ukatili wa watoto na kijinsia yanayofanywa katika jamii.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news