Hakuna kiingilio Fainali za Mashindano ya PBZ Yamleyamle Cup-Rais Dkt.Mwinyi

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuagiza Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,Mhe. Tabia Maulid Mwita kwamba Fainali ya Mashindano ya PBZ YAMLEYAMLE CUP, itakayokutanisha timu ya Pochinki City na Wete City yawe bure kwa kila mmoja kuhudhuria.
Rais Dk. Mwinyi ameahidi kugharamia tiketi zote kwa watakaohudhuria fainali hiyo Septemba 14,2024 katika Uwanja vya Gombani, Pemba.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news