Hawa ndiyo viongozi wapya wa Tanganyika Law Society (TLS)


Uongozi wa TLS 2024 - 2027 uliochaguliwa jana tarehe 2.8.2024 na kuapishwa leo tarehe 3.8.2024 jijini Dodoma. Aliyeketi katikati ni Rais mpya wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi na Makamu Rais (upande wake wa kulia), Wakili Laetitia Ntagazawa. Mwanzoni kushoto (walioketi) ni Katibu Mtendaji, Wakili Mariam Othman. Waliobaki ndio wajumbe wa Baraza Kuu yaani General Council (GC) kutoka Kanda za TLS ambao hufanya maamuzi ya masuala yote ya uongozi wa chama kwa mujibu wa sheria, kanuni na maelekezo ya Mkutano Mkuu wa Wanachama.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news