DODOMA-Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IJP Camillus Wambura amemhamisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, SACP Theopista Mallya kwenda Makao Makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake kuchukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP George Katabazi.
IJP Camillus Wambura.
justce for binti
ReplyDelete