Je,unataka kufanikiwa kibiashara na kuwa tajiri? Fanya hivi

ARUSHA-Jina langu ni Abeli kutokea Arusha nchini Tanzania, baada ya kufanya vibarua kwa miaka mingi kwenye maduka ya Wahindi nilichoka na kuamua nianze mpango wa kujiari maana ndipo nasikia kuna faida na watu wengi wameweza kutoka kimaisha.
Na ili kufikia lengo langu hilo nilianza kutunza fedha zangu nilizopata kila mwisho wa mwezi ingawa ilikuwa kwa kujinyima sana, sikuwa nakula chakula kizuri wala kuvaa nguo nzuri.

Sasa baada ya kama mwaka mmoja na nusu niliweza kufungua duka la kuuza vyakula na hapo nikawa na matumaini tele kuwa naenda kuuwaga umaskini, lakini haikuwa hivyo hata kidogo.

Nakumbuka mtaa ule niliofungua duka pande za Sanawari, Arusha, biashara ilikuwa ni ngumu sana kuwahi kutokea, kuna siku niliishia kuuza Sh5,000 tu, hapo bado sijala, kununua umeme na bado mwisho wa mwezi natakiwa kulipa kodi ya fremu.

Ila baadhi ya watu waliniambia biashara muda mwingine huchelewa kuchangamka,hivyo niwe na subra kwanza, nilifanya biashara ile kwa kipindi cha miezi sita lakini sikuona dalili ya kupata wateja wengi.

Chakushangaza kadiri siku zilivyokuwa zinasonga ndivyo na mtaji wangu ulikuwa unaenda ukipungua, lakini cha kushangaza watu waliokuwa jirani yangu maduka yao yalikuwa yanauza sana.

Na hapo ndipo nilipogundua kuna kitu cha ziada katika hizi biashara za mjini, hivyo nilianza kufanya uchunguzi wa namna naweza kuinua biashara yangu kimauzo kwani nilielekea kufilisika sasa.

Ndipo nikachukua uamuzi wa kuwasiliana na Dr Bokko ambaye ndiye mtu amekuja kuiponya biashara yangu, baada ya mazungumzo, alinihakikishia kuwa biashara yangu itaanza kuchangamka ndani ya siku tatu.

Basi baada ya siku kama mbili hivi kupita wateja walianza kuja kwa wingi bila kujua ni wapi hasa wanatokea.

Nakumbuka walikuja wengi hadi wanataka bidha ambazo sikuwa nazo dukani kwangu, hilo lilinifanya nikachukua mkopo sehemu niweze kuagiza bidha nyingi zaidi.

Biashara ilikuwa kwa kasi sana hadi kufikia kiwango cha kuamua kuajiri kijana kwa ajili ya kuuza huku mimi nikishughulika upande wa kuleta bidhaa.

Ndani ya mwaka mmoja tangu niongee na Dr Bokko nimeweza kufungua na duka lingine kubwa la bidhaa za jumla ambalo kwa sasa anasimamia mke wangu.

Ama kwa hakika bila mtu huyu aliyesaidia wengi ukanda wa Afrika Mashariki muda huu duka langu lisingekuwepo badala yake ningerejea tena kwenye vibarua vile vya Wahindi vyenye malipo kidunchu na manyanyaso mengi.

Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Dr Bokko kwa namba; +255618536050 ili uweze kupata usaidizi wa haraka katika changamoto mbalimbali zinazokukabili iwe kibiashara,mahusiano, ndoa, kazi na mengineyo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news