Jinsi ya kujikiga na ugonjwa wa Mpox

DAR-Ugonjwa wa Mpox huenea kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine kwa kuwa karibu na mtu aliyeambukizwa, ikiwa ni pamoja na kupitia ngono, kugusana ngozi na kuzungumza au kupumua karibu na mtu mwingine.

Pia,virusi vinaweza kuingia mwilini kupitia ngozi yenye michubuko, njia ya upumuaji au kupitia macho, pua au mdomo.

Inaweza pia kuenea kwa kugusa vitu ambavyo vilishikwa au kutumiwa na mtu mwenye virusi, kama vile mashuka, nguo na taulo;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news