Kadi Janja kumwezesha mkulima kupata huduma mbalimbali kidigitali nchini

DODOMA-"Pamoja na ruzuku ya mbolea, tumeamua kutoa ruzuku ya mbegu ili kuwaletea unafuu zaidi wakulima.
"Ndugu zangu fedha hizi ni nyingi,hivyo ni lazima kuhakikisha mnyororo mzima unafanya kazi kwa uadilifu, kwa muktadha huo kila mkulima anayetaka kunufaika na mbolea au mbegu za ruzuku ni lazima awe tayari kufuata utaratibu uliowekwa, "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan siku ya Agosti 8,2024 katika viwanja vya Nzunguni jijini Dodoma ikiwa ni kilele cha Siku ya Kimataifa ya Kilimo (Nanenane).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news