Kizimkazi imeitika, Rais Dkt.Samia ahutubia maelfu

ZANZIBAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 25,2024 amewahutubia viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi wakati wa kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika Uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wananchi wakati wa kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.
Matukio mbalimbali kwenye Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news