Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wapewa mafunzo

Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Ufuatiliaji na Tathmini Idara ya Mipango, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw.Patrick Allute akisisitiza jambo wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Maafisa Bajeti wa ofisi hiyo.
Baadhi ya Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa maafisa hao yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.
Baadhi ya Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa maafisa hao yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.
Baadhi ya Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Ufuatiliaji na Tathmini Idara ya Mipango, Bw. Patrick Allute wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa maafisa hao.

Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakihakiki kazi zao wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.
Baadhi ya Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakijadili jambo wakati wakifanya kazi za makundi kwenye Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa maafisa hao yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.
Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakihakiki kazi zao wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.
Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakijadili jambo wakati wakifanya kazi za makundi kwenye Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa maafisa hao yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news