DAR-Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha mwezi Julai, mwaka wa Fedha 2024/25 imefanikiwa kukusanya shilingi trilioni 2.34, sawa na ufanisi wa asilimia 104.4 ikilinganishwa na lengo la kukusanya shilingi trilioni 2.246 ambapo makusanyo haya ni sawa na ukuaji wa asilimia 20 ikilinganishwa na shilingi trilioni 1.94 zilizokusanywa katika mwezi Julai kwa mwaka wa Fedha 2023/24.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo