Magazeti leo Agosti 17,2024

ARUSHA-Agosti 16,2024 Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amerejea kazini jijini Arusha baada ya likizo ambapo ameanza kwa kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini humo na kusema hadi kufikia Septemba Mosi,2024 jengo jipya la abiria litaanza kutumika likiwa na uwezo wa kuhudumia watu 1,000 kutoka 150 kwa pamoja na pia uwanja huo utawekwa taa ili ufanye kazi kwa saa 24.
“Tumetembelea Kisongo Airport kuona maendeleo ya ujenzi, kazi inaendelea na inatupa faraja na tuliongea na DG tunataka uwanja huu ufanye kazi usiku na mchana na pia utatumika kwa wenye private jet."





Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news