Magazeti leo Agosti 2,2024

DAR-Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),CPA Yusuph Mwenda amewataka mawakala wa forodha nchini kufanya kazi kwa weledi, uadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa.
Mwenda amesema hayo Agosti Mosi, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa TPA jijini Dar es Salaam alipokutana na wanachama wa Chama cha Mawakala wa Forodha (TAFFA) wakiongozwa na Rais wa chama hicho, Edward Urio kwa lengo la kusikiliza changamoto zao, kujadiliana namna ya kuzitatua na kuboresha huduma za forodha ili kuhakisha wanalipa kodi stahiki na kwa hiyari.





Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news