Mheshimiwa Kapinga akagua banda jumuishi la taasisi za Wizara ya Nishati tamasha la Kizimkazi

ZANZIBAR-Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar.


Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa kushirikiana na Taasisi zake pamoja na kutoa elimu ya Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news