Mke wangu aniomba msamaha baada ya mama yake kudai nimembaka

KILIMANJARO-Huku duniani kuna mambo ukiambiwa unaweza kujiuliza inawezekanaje, lakini ukweli ni kwamba mambo hayo yapo na wanaofanya ni binadamu ambao kila siku wanaenda kwenye nyumba za ibada kusali.
Siwezi kusahau miaka mitatu iliyopita ambapo mama mkwe wangu alinifungulia kesi mahakamani kuwa nilitaka kumbaka akiwa nyumbani kwake jambo ambalo sio la kweli.

Nilikamatwa na kufikishwa mahakamani, nilisomea mashtaka ambayo yote niliyakana na kupelekwa rumande, baadaye nilikuja kupata dhamana na kuachiwa, jambo ambalo lilinipa tumaini ya kushinda kesi hiyo.

Mke wangu aliamua kuondoka nyumbani na kuniambia mimi ni mtu ambaye siridhiki kwa sababu nimetaka kula kuku na mayai yake, kauli hiyo ilinitoa machozi kutokana sikufanya kitendo hicho na wala sijawahi kuwa na hata wazo la namna hiyo.

Nilimuomba sana asiondoke maana hana uhakika kama ni kweli nimefanya hivyo, alisema mama yake amemlea na anamfahamu vizuri na kamwe hawezi kuongea uongo mkubwa kiasi hicho.

Basi mke wangu aliondoka na kubaki mwenyewe, ilikuwa ni aibu kubwa sana kwangu, habari hizo tayari zilikuwa zimeshasambaa mtaani na kwenye vyombo vya habari.

Mtoto wa mjomba yangu ambaye ni mwanasheria alipata habari hizo na kuja nyumbani kunitembelea, nilimueleza ukweli wa jambo hilo na kuahidi kuwa ataisimamia kesi hiyo hadi kuhakikisha nashinda.

Katika maongezi yetu zaidi aliniambia kuna mtu anaitwa Dr Bokko mwenye niwasiliane naye kwani atawezesha sisi kushinda kesi hiyo kwa urahisi zaidi na amekuwa akiwashauri wateja wake kufanya hivyo kabla ya kuanza kusimamia kesi zao.

Alichukua simu yake na kunipatia namba ya Dr Bokko ambayo ni +255618536050, niliwasiliana naye na kumuomba sana anisaidie niweze kuondokana na aibu hiyo. Basi alinihakikishia kesi hiyo ni nyepesi sana na nina kwenda kuishinda mchana kweupe siku sio nyingi.

Ilifika siku ya hukumu na Jaji akatoa hukumu kuwa sina hatia, siku hiyo mama mkwe wangu hakuwepo mahakamani bali aliwakilishwa na mwanasheria wake.

Nilifurahi sana kuachiwa huru maana hapo jina langu linakuwa limesafishwa kutoka mtu ambaye nilioneka kuwa mbakaji aliyevuka mipaka.

Kilichokuja kunishangaza ni pale niliporudi nyumbani na kumkuta mke wangu, nilimuuliza mbona umerudi, akaniambia pole najua umeshinda kesi ila samahani sana.

Nikamuuliza samahani ya nini tena?Akajibu amebaini kuwa mama yake alinifungulia kesi ya uongo ili tuachane, halafu nikaolewe na mwanaume mwingine ambaye alimuahidi atatoa mahari kubwa sana.

Mke wangu alinisisitiza nisamehe kwa moyo mweupe na tuendelee na maisha yetu, kwa kuwa nilimpenda sana niliamua kusamehe. Wasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050 ili kupata huduma ya kuweza kushinda mashauri.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news