Mkutano wa Elimu EAC kuendelea Arusha leo

ARUSHA-Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda na Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo wamewasili katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa Elimu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioanza jana Agosti 12, 2024.Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,Prof. Adolf Mkenda akiteta jambo na Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo baada ya kuwasili katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa Elimu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioanza jana Agosti 12, 2024.
Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo akisisitiza jambo kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda baada ya kuwasili katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa Elimu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioanza jana Agosti 12, 2024.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,Prof. Adolf Mkenda akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo baada ya kuwasili katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa Elimu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioanza jana Agosti 12, 2024.

Mkutano huo unashirikisha nchi zote za Afrika Mashariki na unatarajiwa kufunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Philip Mpango.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news