Mradi mkubwa wa maji Arusha kutembelewa na Wawakilishi

ARUSHA-Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikiwa katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha kabla ya kuanza ziara ya kutembelea Mradi wa uboreshaji Huduma ya Maji Jiji la Arusha.Thamani ya mradi ni shilngi Bilioni 520 na unatoa huduma kwa wananchi.
Lengo la ziara ni ushirikiano na uzoefu katika utatuzi wa changamoto katika sekta ya maji kwa pande zote mbili za muungano.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news