Msikubali kununuliwa silaha za bandia (toys) ni hatari-Polisi

DODOMA-Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nzuguni wametakiwa kutotumia silaha za bandia wanazonunuliwa na wazazi wao kwa sababu zinaweza kuwa hatari kwao na jamii kwa ujumla.
Wameelezwa hayo leo Agosti 7, 2024 na Mkaguzi wa Polisi, Sylvanus Rweyemamu walipotembelea banda la Jeshi la Polisi lililopo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane Kitaifa yanayoendelea viwanja vya Nzunguni jijini Dodoma.
Pia,amewaomba kutoa ushirikiano kufichua wanapoona watu wanaofanya biashara za silaha bandia au kumiliki waweze kutoa kwa hatua zaidi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news