DODOMA-Mheshimiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. Hamza Johari amefanya ziara ya kutembelea Divisheni na Vitengo vya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwa lengo la kuwasalimia Watumishi na kuangalia mazingira wanayofayia kazi.
Mhe. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ametembelea Ofisi za Mwanasheria Mkuu wa Serikali zilizoko Mtumba na Ipagala Jijini Dodoma, tarehe 23 Agosti 2024