Mwenge wa Uhuru kukimbizwa kwa siku mbili wilayani Shinyanga

SHINYANGA-Wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga inayarajia kupokea na kukimbiza Mwenge wa Uhuru kwa siku mbili kuanzia Agosti 11 hadi 12,2025.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga,Wakili Msomi Julius Mtatiro. (Picha na Maktaba).

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Agosti 9,2024 na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Msomi Julius Mtatiro ambapo mwenge huo utakimbizwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.



Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news