OUT:Tunashiriki Maonesho ya Nanenane 2024 kanda zifuatazo

DAR-Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kinashiriki katika Maonesho ya Nane Nane mwaka huu wa 2024 kama ifuatavyo:
Mosi: Jijini Dodoma- Nane Nane Kitaifa.

Pili: Jijini Arusha- Nane Nane Kanda ya Kaskazini.

Tatu: Mkoani Morogoro-Nane Nane Kanda ya Mashariki.

Nne: Mkoani Lindi- Kanda ya Kusini (OUT Lindi na Mtwara wanashiriki kwa pamoja).

Tano: Mkoa wa Tabora- Kanda ya Magharibi.

Sita: Mkoa Mbeya-Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

Maonesho ya Nane Nane yameanza rasmi leo Agosti 1,2024 mpaka Agosti 8,2024.Wananchi wote mnakaribishwa kutembelea mabanda ya OUT ili muweze kupata huduma mbalimbali kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi alasiri.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Agosti 1,2024 

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news