PPAA yaendelea kutoa elimu Maonesho ya Nanenane

DODOMA-Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeendelea kutoa elimu kwa Umma kuhusu majukumu, malengo na mafanikio ya Mamlaka hiyo hususan kuanzishwa kwa Moduli ya usimamizi wa malalamiko na rufaa kwa njia ya kieletroniki. Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa (Nane Nane), yanayoendelea Jijini Dodoma yalianza tarehe 01 - 10 Agosti, 2024. Banda la PPAA liko katika banda kuu la Wizara ya Fedha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news