Rais Dkt.Mwinyi aelekea Bali kushiriki 2nd Indonesia-Africa Forum (IAF)

DAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa na ujumbe wake ameondoka Dar es Salaam kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Bali, Indonesia, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Indonesia na Afrika ( 2nd Indonesia-Africa Forum (IAF) pamoja na Mkutano wa Viongozi wa Kujadili Ubia wa Maendeleo, utakaofanyika kuanzia tarehe 1 hadi 3 Septemba 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news