Rais Dkt.Mwinyi apokea ndege mpya ya Tanzania ya Boeing 787-8 Dreamliner

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwa katika chumba cha Marubani cha Ndege Mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner na kupata maelezo kutoka kwa Rubani Raymond Musingi, baada ya kuipokea ndege hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika chumba cha Marubani cha Ndege Mpya ya ATCL aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, baada ya kuipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo Agosti 20,2024 na kupata maelezo kutoka kwa Rubani Raymond Musingi aliyoongoza ndege hiyo kutoka nchini Marekani. Rais Dkt.Mwinyi amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Ndege mpya ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar ikitokea nchini Marekani ikipokelewa kwa heshima na kumwagiwa maji na gari za Zimamoto uwanjani hapo leo Agosti 20,2024 wakati ikiwasili.
Ndege mpya ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar ikitokea nchini Marekani ikipokelewa kwa heshima na kumwagiwa maji na gari za Zimamoto uwanjani hapo leo Agosti 20,2024 wakati ikiwasili.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news