Rais Dkt.Mwinyi kumwakilisha Rais Dkt.Samia mkutano wa Pili wa Jukwaa la Indonesia na Afrika jijini Bali

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Indonesia na Afrika.
Sambamba na Mkutano wa Viongozi kujadili ubia wa maendeleo utakaofanyika jijini Bali nchini Indonesia kuanzia Septemba Mosi hadi 3,2024.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Agosti 30,2024 na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu,Raqey Mohamed. Taarifa hiyo imefafanua kuwa;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news