Rais Dkt.Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa mabalozi mbalimbali

DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Agosti 12,2024 Ikulu jijini Dar es Salaam amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa mabalozi mbalimbali watakaoziwakilishi nchini zao hapa nchini ikiwemo Vietnam,Zimbabwe,Rwanda,Italy,Ireland,India na Denmark.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini, Mhe. Vu Thahn Huyen, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini, Mhe. Vu Thahn Huyen, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024 baada ya kupokea Hati za Utambulisho.
Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini, Mhe. Vu Thahn Huyen akisaini kitabu cha wageni Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini, Mhe. Vu Thahn Huyen akisaini kitabu cha wageni Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Zimbabwe hapa nchini Mhe. Helen Bawange Dingani, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Zimbabwe hapa nchini,Mhe. Helen Bawange Dingani, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024 baada ya kupokea Hati za Utambulisho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule wa Zimbabwe hapa nchini,Mhe. Helen Bawange Dingani, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024 baada ya kupokea Hati za Utambulisho.
Balozi Mteule wa Zimbabwe hapa nchini,Mhe. Helen Bawange Dingani akisaini kitabu cha wageni Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka Balozi Mteule wa Italia hapa nchini Mhe. Giuseppe Sean Coppola, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024
Balozi Mteule wa Italia hapa nchini, Mhe. Giuseppe Sean Coppola akisaini kitabu cha wageni Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule wa Italia hapa nchini,Mhe. Giuseppe Sean Coppola, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024 baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Italia hapa nchini,Mhe. Giuseppe Sean Coppola, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024 baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Rwanda hapa nchini,Mhe. Nyamvumba Patrick Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Balozi Mteule wa Rwanda hapa nchini,Mhe. Nyamvumba Patrick akisaini kitabu cha wageni Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule wa Rwanda hapa nchini,Mhe. Nyamvumba Patrick Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024 baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Rwanda hapa nchini,Mhe. Nyamvumba Patrick Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024 baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa India hapa nchini Mhe. Bishwap Dey Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Balozi Mteule wa India hapa nchini,Mhe. Bishwap Dey akisaini kitabu cha wageni Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule wa India hapa nchini,Mhe. Bishwap Dey Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024 baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa India hapa nchini,Mhe. Bishwap Dey Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024 baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ireland hapa nchini,Mhe. Nicola Brennan Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti, 2024.
Balozi Mteule wa Ireland hapa nchini,Mhe. Nicola Brennan akisaini kitabu cha wageni Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi Mteule wa Ireland hapa nchini,Mhe. Nicola Brennan Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti, 2024 baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi Mteule wa Ireland hapa nchini, Mhe. Nicola Brennan Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Denmark hapa nchini, Mhe. Jesper Kammersgaard Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Balozi Mteule wa Denmark hapa nchini Mhe. Jesper Kammersgaard akisaini kitabu cha wageni Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Balozi Mteule wa Denmark hapa nchini Mhe. Jesper Kammersgaard akisaini kitabu cha wageni Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Denmark hapa nchini Mhe. Jesper Kammersgaard Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Agosti 12, 2024 baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news