Rais Dkt.Samia arejea nchini kutoka Rwanda katika hafla ya kuapishwa Paul Kagame

DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili nchini akitokea nchini Rwanda katika hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa kuamkia Agosti Agosti 11, 2024 akitokea nchini Rwanda.

Viongozi mbalimbali wa Serikali wakimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa kuamkia Agosti Agosti 11, 2024 akitokea nchini Rwanda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihudhuria sherehe za uapisho wa Rais mteule wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, tarehe 11 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali alipohudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, tarehe 11 Agosti, 2024.

Muonekano wa Kigali Stadium ukiwa umejaa katika hafla ya kuapishwa Mheshimiwa Paul Kagame tarehe 11 Agosti, 2024. Uwanja huo una uwezo wa kuhudumia watu 45,000 wakiwa wamekaa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news